『Upwork Series: Namna nimeingiza 27M+ Upwork kwa kufanya kazi za Translation』のカバーアート

Upwork Series: Namna nimeingiza 27M+ Upwork kwa kufanya kazi za Translation

Upwork Series: Namna nimeingiza 27M+ Upwork kwa kufanya kazi za Translation

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Kwenye Epsode ya kwanza ya #UpworkSeries tulizungumza na Julius ambaye alishare nasi safari yake ya kufanya kazi za translation Upwork zilizomsaidia kuingiza zaidi ya 200M+ mtandaoni.


Kwenye Epsode hii ya pili tuko na Philbert ambaye pia ni swahili Translator.Kwenye dashboard ya Upwork Philbert ameingiza zaidi ya Tzs 27M kwa kufanya kazi za translation.

Tenga muda wako na sikiliza kwa makini mazungumzo tumefanya na Philbert.

Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Upwork Series: Namna nimeingiza 27M+ Upwork kwa kufanya kazi za Translationに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。