『TANAPA PODCAST』のカバーアート

TANAPA PODCAST

TANAPA PODCAST

著者: Tanzania National Parks (TANAPA)
無料で聴く

このコンテンツについて

Karibu katika Podcast rasmi ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), inayoangazia mazungumzo ya kina kuhusu Uhifadhi wa Maliasili zilizopo ndani ya Hifadhi za Taifa, Elimu ya Uhifadhi, Utalii pamoja na Fursa za Uwekezaji. Vipindi vya Podcast hii vinajadili mikakati ya uhifadhi endelevu, ukuaji wa utalii, na ushirikiano na wadau wa maendeleo kwa lengo la kuhakikisha Rasilimali za Taifa zinatunzwa kwa vizazi vya sasa na vijavyo.Tanzania National Parks (TANAPA) 政治・政府 政治学
エピソード
  • Utangulizi kuhusu TANAPA na majukumu yake
    2025/08/11

    Katika episode hii ya kwanza, tunazungumzia kwa kina kuhusu Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) – kuanzia majukumu yake makuu, muundo wa utendaji kazi, hadi maeneo ya hifadhi yanayosimamiwa chini ya sheria. Ni programu endelevu inayokufahamisha nafasi muhimu ya TANAPA katika kulinda maliasili na kukuza mapato yatokanayo na shughuli za utalii.



    続きを読む 一部表示
    18 分
  • Sikiliza promo ya Podcast ya TANAPA
    2025/08/08

    Sikiliza Podcast Ya TANAPA ikiwa ni utangulizi katika safari ya kuelimisha Umma kuhusu Uhifadhi na Utalii

    続きを読む 一部表示
    1 分
まだレビューはありません