『Living With Cancer-A Diary Of Hope With Prof. Mark Mwandosya (Swahili)』のカバーアート

Living With Cancer-A Diary Of Hope With Prof. Mark Mwandosya (Swahili)

Living With Cancer-A Diary Of Hope With Prof. Mark Mwandosya (Swahili)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Katika kipindi hiki tuko na Profesa Mark Mwandosya ambae amefunguka kuhusu safari yake ya mapambano ya ugonjwa wa saratani kwa undani zaidi.

Anasimulia jinsi uzoefu huo ulimchochea kuandika kitabu chake “Diaries of a Multiple Myeloma Patient”, shajara yenye kugusa wengi inayolenga kuwapa matumaini na nguvu watu wa Tanzania na nje - kwa wanao ugua na saratani na magonjwa mengine.

Profesa, pia anatafakari juu ya mchango mkubwa alioupata kutoka kwa mke wake, familia, na jamii kwa ujumla — upendo na ushirikiano wao umekua nguzo katika safari yake.

-

In this episode, Prof. Mark Mwandosya opens up about his unexpected journey with cancer.

He shares how his experience inspired him to write ''Diaries of a Multiple Myeloma Patient'', a heartfelt diary-style book meant to bring hope and strength to others in Tanzania and beyond.

Prof. Mwandosya also reflects on the incredible support he received from his wife, family, and community — and how their love and support have been instrumental in this journey.

まだレビューはありません