『Kamerhe chini ya shinikizo kuondolewa kama spika wa bunge la DRC』のカバーアート

Kamerhe chini ya shinikizo kuondolewa kama spika wa bunge la DRC

Kamerhe chini ya shinikizo kuondolewa kama spika wa bunge la DRC

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Taratibu zinazolenga kumfuta kazi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Vital Kamerhe zinaendelea huku kukishuhudiwa hali ya mfarakano kati ya rais Félix Tshisekedi na mshirika wake huyo wa zamani.
まだレビューはありません