『Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa?』のカバーアート

Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa?

Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa?

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frateri Emmanuel Elisha Mganga Kutoka Parokia ya Mtakatifu Magreth wa Scotland Majengo, Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, akijibu swali hili Naomba kujua Wainjili ni wanne kwanini Kanisa katoliki linakomea mwaka “C” wa Kanisa na kwanini hakuna mwaka ‘D’ wa Kanisa?

L'articolo Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa? proviene da Radio Maria.

Je, unafahamu kwanini Kanisa hukomea mwaka ‘C’ wa Kanisa?に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。