『Je,unafahamu maana ya Mavazi wanayovaa Mapadre kabla ya kanzu ya Padre?』のカバーアート

Je,unafahamu maana ya Mavazi wanayovaa Mapadre kabla ya kanzu ya Padre?

Je,unafahamu maana ya Mavazi wanayovaa Mapadre kabla ya kanzu ya Padre?

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, Mwezeshaji wa kipindi ni Frater Benedict Luvanga kutoka Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Ruaha Jimbo Katoliki Iringa, akijibu swali la Msikilizaji linalosema Nini maana ya Mavazi madogo wanayovaa Mapadre kama Mshipi, kitambaa Mgongoni na Kifuani vinavyovaliwa kabla ya Kanzu ya Padre.

L'articolo Je,unafahamu maana ya Mavazi wanayovaa Mapadre kabla ya kanzu ya Padre? proviene da Radio Maria.

まだレビューはありません