『Wanawake walemavu siasani; Rose Museo | Kisa Changu Podcast Sehemu ya 1』のカバーアート

Wanawake walemavu siasani; Rose Museo | Kisa Changu Podcast Sehemu ya 1

Wanawake walemavu siasani; Rose Museo | Kisa Changu Podcast Sehemu ya 1

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Machakos, Rose Museo ni mwenye ulemavu. Museo aliyepata ulamavu huo ulemavu kufuatia ajali mwaka 2007 anasema changamoto hiyo haikumzuia kufanikisha ndoto yake ya kuwa kiongozi. Katika mazungumzo na mwanahabari wetu, Rose Mukonyo anawashauri wanawake wengine wenye ulemavu kwamba wanaweza kuafikia malengo maishani.

Wanawake walemavu siasani; Rose Museo | Kisa Changu Podcast Sehemu ya 1に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。