『Vijana na Mapenzi Podcast: Picha za Mitandaoni zinaweza kufanya upate mchumba ama ukose?』のカバーアート

Vijana na Mapenzi Podcast: Picha za Mitandaoni zinaweza kufanya upate mchumba ama ukose?

Vijana na Mapenzi Podcast: Picha za Mitandaoni zinaweza kufanya upate mchumba ama ukose?

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Ulimwengu huu wa utandawazi umewapa wengi fursa ya kutumia mitandao ya kijamii kuweka picha zao kujifurahisha na hata kuwafurahisha wengine. Kuna wale huweka picha wakiwa wamevalia nadhifu, wengine kujianika nusu uchi na kadhalika. Je, mwonekano wa mtu katika picha anazoweka mitandaoni unaweza kuchangia apate mchumba ama akose, hasa kwa wanaolenga kuwapata wachumba? Tumezunguma na wananchi kuihusu mada hii vilevile kupata wosia wa mshauri Bi. Rachel Mahungu.

Vijana na Mapenzi Podcast: Picha za Mitandaoni zinaweza kufanya upate mchumba ama ukose?に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。