『Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?』のカバーアート

Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?

Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Washauri wa masuala ya mapenzi watakweleza kwamba huwa ni kibarua kumtafuta mchumba na hasa mtu mtakayefaana maishani. Ili kumpata mpenzi ni lazima kwanza umtafute. Lakini je, ni mbinu zipi ambazo hutumiwa katika kutongoza? Msichana naye anaweza kufanya nini ili kumvutia mwanamume ambaye anampenda bila kutoa taswira kwamba ndiye anayemfukuzia mwanamume? Vijana na washauri wanatoa kauli zao kuihusu mada hii.

Vijana na Mapenzi Podcast; Je, vijana hutumia mbinu zipi kukatiana?に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。