『Uteuzi tata hadi mgombea huru; Timothy Toroitich』のカバーアート

Uteuzi tata hadi mgombea huru; Timothy Toroitich

Uteuzi tata hadi mgombea huru; Timothy Toroitich

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Wakili Timothy Toroitich, mwaniaji wa kiti cha ubunge kwenye eneo la Marakwet Magharibi ni miongoni mwa wagombea huru wengi waliojitokeza Kaskazini mwa Bonde la Ufa baada ya kutoridhishwa na matokeo ya shughuli ya uteuzi wa Chama cha UDA. Faith Kutere amezungumza naye kuhusu safari yake ya siasa, idadi kubwa ya wagombea huru waliojitokeza nchini, ukosefu wa usalama kwenye Bonde la Kerio, mipango yake ya kisiasa iwapo atachaguliwa miongoni mwa masuala mengine.

Uteuzi tata hadi mgombea huru; Timothy Toroitichに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。