『Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.』のカバーアート

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

著者: Hefsiba Nzali
無料で聴く

概要

Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency,

Sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga, ku-level up sectors zote ili Kupata unachotaka bila kutumia nguvu na kuepuka kutumiwa Bure.

Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology, wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft.

Welcome home QUEEN!

All rights reserved.
アート ファッション・テキスタイル 人間関係 個人的成功 心理学 心理学・心の健康 社会科学 自己啓発 衛生・健康的な生活 装飾美術および設計
エピソード
  • Jinsi ya kuwa Self Obsessed
    2026/01/23

    Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby,

    sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana.

    Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine.

    Utajifunza

    –Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke

    – Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia

    – Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumla


    Kama umewahi kujisahau ili upendwe au ukubalike

    episode hii ni kwa ajili yako.

    続きを読む 一部表示
    17 分
  • Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026!
    2026/01/13

    Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i really want you to not just listen but get into it by doing action starting today.

    続きを読む 一部表示
    19 分
  • Unatambua thamani yako?
    2026/01/08

    Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi. Leo kwenye hii ep ya kwanza nataka kukuuliza swali moja tu… Do you really know your worth? Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena?

    Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram, tiktok au YT.More soft. More deep. More real.

    This is your new safe space, baby girl. Welcome home.

    続きを読む 一部表示
    6 分
まだレビューはありません