『Tofauti kati ya Makusudi na Maelekezo | Pr. Peter John』のカバーアート

Tofauti kati ya Makusudi na Maelekezo | Pr. Peter John

Tofauti kati ya Makusudi na Maelekezo | Pr. Peter John

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Mungu analo kusudi kwa ajili ya kila mmoja wetu na kama tunakusudia kujenga familia zilizo imara ni muhimu kufahamu kusudi hilo na kuishi kuendana na hilo. Mchungaji John anatumia somo hili la pili kuelekeza juu ya umuhimu wa kufahamu makusudi haya na kuishi kulingana na maelekezo ya muumba wetu ili kujenga mahusiano imara na Mungu wetu na hatimaye wenzi wetu.


Bwana akubariki sana.

まだレビューはありません