『Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast』のカバーアート

Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast

Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Kuna misemo kwamba pesa ni sabuni ya roho, pesa ndizo chanzo cha maovu yote na kadhalika. Je, ni kweli kuwa mwanaume anapopata pesa mienendo yake hubadilika? Kwamba wanajiburudisha mno kwa vileo, kuwa na wapenzi wengi wa kike, kuoa mke mwingine na kadhalika. Tumezungumza na wananchi.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません