『Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast』のカバーアート

Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Bingwa wa tenisi kwa wachezaji chipukizi chini ya miaka kumi na minane, Angela Okutoyi anasema hawaii kubadili uraia. Katika mazungumzo na Ali Hassan Kauleni, Okutoyi amesema wazi kwamba licha ya kupata nafasi ya kufanya hivyo ataendelea kuwakilisha Kenya katika mashindano ya tenesi.

Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcastに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。