『Siasa na Gumzo』のカバーアート

Siasa na Gumzo

Siasa na Gumzo

著者: Standard Media
無料で聴く

Mijadala, uchambuzi na gumzo la kusisimua kuhusu masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.Standard Media 世界
エピソード
  • Kujiunga kwa ODM Na Serikali Kutakomesha Maandamano ya Gen Zs?
    2024/07/25
    Baada ya Rais William Ruto kuwateua wanasiasa wanne kutoka ODM kujiunga na Baraza la Mawaziri, swali sasa ni hatima ya ODM ni gani? Je, Rais ametatua tatizo lililokuwepo?
    続きを読む 一部表示
    25 分
  • Hasla Akosa Usingizi Kufuatia Gharama ya Maisha | Siasa na Gumzo Podcast
    2022/12/17
    Suala la gharama ya maisha limeendelea kumkosesha Hasla usingizi! Ameamua kutumia mbinu tatu; mbolea ya bei nafuu, serikali na sekta binafsi kuagiza tani elfu miatatu za mbolea na kuagiza mahindi ili kukabili uhaba wa chakula. Atafaulu? Aidha, kuna more goodies kwa mahasla, Rais akipata fedha kutoka Marekani kupiga jeki Hazina ya Hustler Fund. Umesaidika na fedha hizo? Kiwango ulichoomba kimeongezeka? Pia kuna masaibu ya Cherera4. Unasemaje kuwahusu? Tribunal iendelee kuwachunguza au unasema leave them alone jinsi anavyotaka Baba? Wanahabari wetu Moses Kiraese wa Pokot Magharibi na Martin Ndiema akiwa Trans Nzoia wameshiriki gumzo na wananchi.
    続きを読む 一部表示
    11 分
  • Uteuzi wa Makatibu Wazua Tumbojoto, Raila akitaka Waluke Kuachiliwa | Siasa na Gumzo Podcast
    2022/11/05
    Uteuzi wa makatibu umezua mjadala, wana-Azimio wakilalamika kwamba Rift Valley na Mt.Kenya zimependelewa. Unadhani suala la kimaeneo lilizingatiwa? Aidha, Baba anadai Kinoti anaandamwa na anataka majasusi wa kimataifa kualikwa kushughulikia suala la mauaji ya kiholela. Riggy G naye hataki harufu ya Tinga Kenya Kwanza, Tinga naye anasema wewe kijana wacha kuniota kila saa mimi si rika lako. Unamshauri vipi Riggy G? Vilevile Baba anataka Waluke kuachiliwa huru. Eti kesi dhidi yake itupiliwe mbali kama za wengine. Unasemaje? Kuhusu njaa, unadhani serikali imeweka juhudi za kutosha kukabili makali ya njaa? Alhamisi serikali ya Kenya ilituma msaada wa chakula Somalia ilhali hapa Kenya watu, mifugo wanaangamia. Kwa mengi wanahabari wetu Collins Chungani akiwa Nyeri, Clinton Ambujo wa Kisumu na Martin Ndiema akiwa Trans Nzoia wameshiriki Gumzo na Wakenya.
    続きを読む 一部表示
    11 分
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません