『Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa』のカバーアート

Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa

Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasa

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa anasema kuwa uhusiano mbaya kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake, William Ruto ni kutokana na siasa. Katika mahojiano na Faith Kutere, Barasa anasema hatua ya Rais kumwambia Naibu wake ajiuzulu haifai. Aidha, amepuuza uwezekano wa Ruto kuondolewa kupitia hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni.

Siasa Podcast; Uhuru asimnyanyase Ruto, asema Didmus Barasaに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。