『Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast』のカバーアート

Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast

Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcast

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Katika miaka ya hivi karibuni, jamii imekuwa ikiyafanya kipaumbele maslahi ya mtoto wa kike baada ya kukandamizwa kwa miaka mingi. Wengi sasa wamepata nafasi ya kusoma na hata kuajiriwa. Lakini kuna wanaoamini kwamba mwanamke anapopata kazi na kuwa na cheo katika jamii, mara nyingi hujawa kiburi. Suala hili tunaliangazia kwa kuhusisha kauli za wananchi vilevile kupata ushauri kuhusu masuala ya ndoa.

Pesa hubadili tabia za mwanamke? | Vijana na Mapenzi Podcastに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。