Pambo la Muumini: Siri ya Tabia Njema – Sheikh Abdallah Humeid
カートのアイテムが多すぎます
ご購入は五十タイトルがカートに入っている場合のみです。
カートに追加できませんでした。
しばらく経ってから再度お試しください。
ウィッシュリストに追加できませんでした。
しばらく経ってから再度お試しください。
ほしい物リストの削除に失敗しました。
しばらく経ってから再度お試しください。
ポッドキャストのフォローに失敗しました
ポッドキャストのフォロー解除に失敗しました
-
ナレーター:
-
著者:
Maelezo: "Tabia njema ni kipimo cha imani. Katika mawaidha haya yenye kugusa nyoyo, Sheikh Abdallah Humeidanaelezea kwa kina maana ya kujipamba na tabia njema na athari yake katika jamii.
Yatakayozungumziwa:
- Umuhimu wa Akhlaq njema katika Uislamu.
- Mifano kutoka kwa Mtume Muhammad (S.A.W) na Maswahaba.
- Hatua za kivitendo za kubadili tabia mbaya na kuwa na tabia njema.
Usikose kusikiliza mawaidha haya ili upate mwongozo wa jinsi ya kuwa Muislamu bora mwenye adabu na staha. Hakikisha unasubscribe na kushare na wengine ili kupata thawabu za kheri."
adbl_web_anon_alc_button_suppression_c
まだレビューはありません