『Nyayo za Matumaini | Pr. Paul Semba』のカバーアート

Nyayo za Matumaini | Pr. Paul Semba

Nyayo za Matumaini | Pr. Paul Semba

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Sehemu kubwa tuyaonayo leo yanaweza kutupa kila sababu ya kukata tamaa na wakati mwingine kuhisi kana kwamba hakuna mahali tunaweza kupata tumaini. Mch. Semba katika somo la kwanza katika mikutano ya Kihonda NET Event anatufunulia pazia katika vita ile kubwa kati ya wema na uovu ulio chanzo cha vita, njaa, majanga na mabaya mengine mengi tunayoyaona leo. Lakini jambo jema ni kwamba vita hii itaisha na wema utashinda na hilo ndilo tumaini ambalo wakati wote tunapaswa kufuata nyayo zake...

Barikiwa na Bwana tunapozitembelea nyayo hizi za Matumaini....

まだレビューはありません