『Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast』のカバーアート

Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Aliyekuwa mchezaji wa timu ya kitaifa ya soka, Harambee Stars Silvanus Otema anasema alipitia wakati mgumu nchini Ethiopia baada ya kujiunga na klabu ya St. George. Otema anasema alitengwa na wachezaji wa klabu hiyo kutokana na uzuri wake. Pata uhondo kamili katika Podcast hii.

Nilitengwa Ethiopia; Silvanus Otema | Gumzo na Mwanaspoti Podcastに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。