『Mlinzi wa Binafsi Aliyeponea Kifo | Kisa Changu Podcast』のカバーアート

Mlinzi wa Binafsi Aliyeponea Kifo | Kisa Changu Podcast

Mlinzi wa Binafsi Aliyeponea Kifo | Kisa Changu Podcast

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Bernard Kibet amekuwa bawabu kwa zaidi ya miaka kumi. Japo kazi hii imemwezesha kuilisha familia yake na kuwasomesha watoto wake ni kazi ii hii ambayo imemsababishia machungu ambayo hatawahi kusahau kamwe. Kibet anasema wakati mmoja genge la majambazi lililokuwa kwenye eneo lake la kazi liliiba na kumpiga risasi kichwani bila kukusudia. Waliomwokoa walimchanganya na mili minane bila kukusudia tayari kupeleka katika hifadhi ya maiti lakini kwa bahati nzuri aliokolewa. Ilikuwa aje? Martin Ndiema amefanya mezungumzo na Kibet katika Podcast hii.

Mlinzi wa Binafsi Aliyeponea Kifo | Kisa Changu Podcastに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。