エピソード

  • Unaweza Mpenda Mtu Asiyekupa Kitu?
    2026/03/16

    Ili mahusiano yawe ya thamani kwako je utatarajia jambo? Mapenzi ili yawe matamu yanahitaji pesa? Ndoa ili iwe na raha, itabidi iwe na mtoto? Mauhusiano mengi yamevunjwa kwasababu watu hawatambui msingi wa mahusiano ni kuhusiana na sio kupeana au kuonyeshana.

    Pengine hauridhishwi na mahusiano uliyonayo kwasababu hayaelekei vile ungependa, naomba nibadilishe mtazamo wako. Naomba kwenye Episode hii nikupe mwanga wa kukutoa kwenye giza la mahusiano "Superficial" to Mahusiano "Natural".



    続きを読む 一部表示
    31 分
  • Hey Champion,Utaweza!
    2026/03/06

    Katika episode hii ninaongea na wewe, "Tough Person," ambaye unapitia jambo ambalo hata wewe unaona ni gumu kuliko wewe. Sikiliza mpaka mwisho, ili ujuwe kwanini you are who you are; a tough one.

    続きを読む 一部表示
    12 分