『Unaweza Mpenda Mtu Asiyekupa Kitu?』のカバーアート

Unaweza Mpenda Mtu Asiyekupa Kitu?

Unaweza Mpenda Mtu Asiyekupa Kitu?

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

概要

Ili mahusiano yawe ya thamani kwako je utatarajia jambo? Mapenzi ili yawe matamu yanahitaji pesa? Ndoa ili iwe na raha, itabidi iwe na mtoto? Mauhusiano mengi yamevunjwa kwasababu watu hawatambui msingi wa mahusiano ni kuhusiana na sio kupeana au kuonyeshana.

Pengine hauridhishwi na mahusiano uliyonayo kwasababu hayaelekei vile ungependa, naomba nibadilishe mtazamo wako. Naomba kwenye Episode hii nikupe mwanga wa kukutoa kwenye giza la mahusiano "Superficial" to Mahusiano "Natural".



まだレビューはありません