• Safari ya Maisha, Kuajiriwa mpaka Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS
    2026/09/09

    Jifunze kuhusu Safari ya Maisha, Kuajiriwa mpaka Biashara | Gari ya 170M kwa Mshahara wa 250K | FULL MASTERCLASS kutoka kwa CEO wa room of jeans brother dominic mmasi

    続きを読む 一部表示
    5 時間 46 分
  • Jinsi Alivyoacha Udaktari na Kujenga Biashara ya Bilioni 2 Kwa Mwaka Bila Mtaji | Full Masterclass
    2026/09/09

    kwenye hii episod utajifunza safari nzima ya jinsi CEO wa ubepari company Alivyoacha Udaktari na Kujenga Biashara ya Bilioni 2 Kwa Mwaka Bila Mtaji | Full Masterclass

    続きを読む 一部表示
    3 時間 53 分
  • Safari Yangu Ya Biashara, Pesa, Investment & Vision | FULL MASTERCLASS
    2026/09/09

    From failing Form Four to building wealth, businesses, and a powerful vision - Ibrahim Chenza shares the real secrets behind his success. This is not just a podcast, it’s a full masterclass.

    続きを読む 一部表示
    2 時間 56 分
  • Jinsi Nilivyopata Zaidi Ya 1.7 BILLION At 21 Years | Biashara | Pesa | Part 1
    2026/09/08

    Kijana aliyeitikisa Tanzania (2016–2018)… Akiwa na miaka 21 alishika zaidi ya 1.7 Billion TZS kutoka maisha ya kawaida Baada ya muda mrefu kuwa kimya, sasa amefunguka. Ame-share kila kitu A–Z - real experiences, pesa, biashara, highs & lows, na ukweli ambao haujawahi kusemwa hivi kabla. 🎙️ This is not a podcast — it’s a full masterclass.

    続きを読む 一部表示
    2 時間 8 分
  • Part 2: Jinsi Nilivyopata Zaidi Ya 1.7 BILLION At 21 Years | Biashara | Pesa | What Really Happened
    2026/09/09

    Part two (2) ya Kijana aliyeitikisa Tanzania (2016–2018)… Akiwa na miaka 21 alishika zaidi ya 1.7 Billion TZS kutoka maisha ya kawaida, Baada ya muda mrefu kuwa kimya, sasa amefunguka, Ame-share kila kitu A–Z - real experiences, pesa, biashara, highs & lows, na ukweli ambao haujawahi kusemwa hivi kabla.

    続きを読む 一部表示
    3 時間 40 分