『JUMA AYO: "Nimetishiwa BASTOLA Kisa SIMBA na YANGA, Wachambuzi ni MACHAWA!" (50 MILES EP. 001)』のカバーアート

JUMA AYO: "Nimetishiwa BASTOLA Kisa SIMBA na YANGA, Wachambuzi ni MACHAWA!" (50 MILES EP. 001)

JUMA AYO: "Nimetishiwa BASTOLA Kisa SIMBA na YANGA, Wachambuzi ni MACHAWA!" (50 MILES EP. 001)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

【Amazonプライム会員限定】今ならプレミアムプランが4か月 月額99円。

10月19日まで。※適用条件あり

Karibu 50 MILLES, sehemu ya mazungumzo ya kweli na ya wazi kuhusu soka la Bongo, maisha binafsi ya mastaa, mahusiano, changamoto za tasnia ya habari, na ukweli usiofichika. Katika episode hii, Blessed Tillah anazungumza na Juma Ayo (Mtangazaji Tajika) kufichua siri za "machawa" kwenye soka, kutishiwa maisha kwa bastola, na kisa cha kusisimua cha kufumania. Jiunge nasi kwa vipindi vipya vyenye mijadala ya moto, kufichua ukweli, na kuburudisha.

adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません