エピソード

  • DALILI SABA ZINAZOONESHA UKO KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
    2026/05/31

    Send us Fan Mail

    Karibu sana ujifunze somo hili kuhusu ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Hakika somo hili litakusaidia sana kujenga ukaribu wako na Roho Mtakatifu.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    続きを読む 一部表示
    1 時間 5 分
  • JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
    2026/05/24

    Send us Fan Mail

    Katika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo yanayomfurahisha.

    "Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi."
    Waefeso 4:30

    Roho Mtakatifu anahitaji heshima, utii, na ushirika wa karibu. Kadiri unavyojifunza kumheshimu na kumtii, ndivyo utakavyoona kazi yake kwa nguvu zaidi katika maisha yako.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    続きを読む 一部表示
    1 時間 6 分
  • JINSI YA KUWA NA URAFIKI WA KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
    2026/05/19

    Send us Fan Mail

    Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu.

    Kama una kiu ya kuwa karibu sana na Roho Mtakatifu, hakika hili somo lina kufaa.

    Karibu ujifunze sana.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    続きを読む 一部表示
    1 時間 17 分
  • KWA NINI ROHO MTAKATIFU ANAONEKANA YUPO KIMYA KWA WATU WENGI - Innocent Morris
    2026/05/19

    Send us Fan Mail

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine inaonekana kama Roho Mtakatifu yuko kimya katika maisha yako? Kwa nini wengine wanasema wanasikia sauti yake kwa uwazi, lakini wewe unaona ukimya?

    Katika somo hili utajifunza sababu kuu zinazoweza kufanya Roho Mtakatifu aonekane kimya kwa watu wengi, pamoja na jinsi ya kurejesha mawasiliano ya karibu na uwepo wake.

    Hili ni somo muhimu kwa kila Mkristo anayetamani kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu na kuongozwa na Roho wake kila siku.

    Karibu sana ujifunze sasa.

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    続きを読む 一部表示
    1 時間 8 分
  • ROHO MTAKATIFU HAKAI MBALI, TATIZO NI HILI - Innocent Morris
    2026/05/18

    Send us Fan Mail

    Katika somo hili utapata majibu ya maswali mengi ambayo umekuwa ukijiuliza.

    Mfano:
    Nahisi Roho Mtakatifu yupo mbali nami, tatizo ni nini?
    Nahisi Roho Mtakatifu hanisikii nikiomba, tatizo ni nini?
    Nahisi Roho Mtakatifu ameniacha, tatizo ni nini?
    Nahisi siisikii sauti ya Roho Mtakatifu vizuri, tatizo ni nini?


    Katika somo hili kuhusu Roho Mtakatifu utajifunza mambo mengi sana yatakayokusaidia kukupa amani na tumaini jipya juu ya mahusiano yako na Roho Mtakatifu.

    Mungu akubariki sana.

    Ubarikiwe sana.

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    続きを読む 一部表示
    1 時間 8 分
  • MAMBO 6 YANAYOWEZA KUHARIBU URAFIKI WAKO NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
    2026/04/20

    Send us Fan Mail

    Katika somo hili utajifunza mambo 6 yanayoweza kuharibu urafiki wako na Roho Mtakatifu, na jinsi ya kuyaepuka ili uendelee kuwa na maisha ya kiroho yenye nguvu na ushirika wa karibu na Mungu.

    Maandiko yanatuonya:
    "Wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu."
    Waefeso 4:30

    Somo hili litakusaidia:

    • Kuelewa mambo yanayomfanya Roho Mtakatifu ahuzunike.

    • Kujifunza jinsi ya kulinda ushirika wako na Mungu.

    • Kukua katika maisha ya utakatifu na utii.

    Ubarikiwe sana.

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect


    続きを読む 一部表示
    1 時間 1 分
  • JINSI YA KUJENGA URAFIKI WA KARIBU SANA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
    2026/04/13

    Send us Fan Mail

    Ikiwa una kiu na unatamani sana kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu; na hujui nini cha kufanya ili uwe na urafiki naye wa karibu. Karibu ujifunze katika somo hili.

    Hakika somo hili litakusaidia sana kujua jinsi ya kujenga urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu.

    Chukua pen na notebook ujifunze sasa.

    Ubarikiwe sana

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect


    続きを読む 一部表示
    1 時間 4 分
  • JINSI YA KUISHI NA ROHO MTAKATIFU KAMA RAFIKI WA KARIBU - Innocent Morris
    2026/04/13

    Send us Fan Mail

    Mungu akubariki sana.

    Ubarikiwe sana.

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    続きを読む 一部表示
    57 分