『Innocent Morris』のカバーアート

Innocent Morris

Innocent Morris

著者: Innocent Morris
無料で聴く

このコンテンツについて

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi

© 2025 Innocent Morris
キリスト教 スピリチュアリティ 個人的成功 聖職・福音主義 自己啓発
エピソード
  • MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris
    2025/09/16

    Send us a text

    MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris

    Katika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kuepuka kiburi kinachotuzuia kuona utukufu wake.

    Utaongozwa kuomba ili:

    Mungu akuvike moyo wa unyenyekevu.

    Uishi maisha yanayompendeza Kristo.

    Ushinde roho ya majivuno na kujitegemea.

    Upokee neema na kibali cha Mungu kwa wingi.


    Tenga muda wako, na uombe maombi haya, na mwache Roho Mtakatifu akufundishe kutembea katika unyenyekevu wa kweli mbele za Mungu na wanadamu.

    Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE video hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Link:
    https://www.instagram.com/holyspiritconnect/

    Facebook Link:
    https://www.facebook.com/holyspiritconnect/

    YouTube Link:
    https://www.youtube.com/holyspiritconnect

    Tiktok Link:
    https://www.tiktok.com/@hscworship

    #holyspiritconnect #innocentmorris

    続きを読む 一部表示
    41 分
  • MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris
    2025/09/16

    Send us a text

    MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris

    Karibu katika maombi haya ili kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. Tunamhitaji sana Mungu katika maisha yetu kuliko kitu kingine chochote. Kwa hiyo chukua dakika kadhaa kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako.

    "Bwana akawa pamoja na Yusufu, naye akasitawi; naye alikuwa katika nyumba ya bwana wake, yule Mmisri."
    Mwanzo 39:2

    Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE video hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!

    Ubarikiwe sana.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Link:
    https://www.instagram.com/holyspiritconnect/

    Facebook Link:
    https://www.facebook.com/holyspiritconnect/

    YouTube Link:
    https://www.youtube.com/holyspiritconnect

    Tiktok Link:
    https://www.tiktok.com/@hscworship


    #holyspiritconnect #innocentmorris

    続きを読む 一部表示
    1 時間 17 分
  • MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris
    2025/09/16

    Send us a text

    MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris

    Karibu kwenye maombi haya ya ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo.

    Damu ya Yesu ina nguvu ya kuleta uponyaji, uhuru, msamaha na ushindi dhidi ya nguvu zote za giza.

    Ungana nasi katika maombi haya na amini kwa moyo wako wote, kwa kuwa maandiko yanasema:

    "Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo, na kwa neno la ushuhuda wao..." (Ufunuo 12:11).

    👉 Tumaini lako, uponyaji wako na ukombozi wako viko katika Yesu Kristo peke yake.

    Usiache kushiriki video hii na wapendwa wako ili nao wapokee neema ya Mungu.

    Mungu akubariki sana 🙏.

    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Tiktok: hscworship

    Contact: +255652796450 (WhatsApp)

    Instagram Link:
    https://www.instagram.com/holyspiritconnect/

    Facebook Link:
    https://www.facebook.com/holyspiritconnect/

    YouTube Link:
    https://www.youtube.com/holyspiritconnect

    Tiktok Link:
    https://www.tiktok.com/@hscworship

    続きを読む 一部表示
    1 時間 15 分
まだレビューはありません