『Darsa Salafiyyah』のカバーアート

Darsa Salafiyyah

Darsa Salafiyyah

著者: Darsa Salafiyyah
無料で聴く

今ならプレミアムプランが3カ月 月額99円

2026年5月12日まで。4か月目以降は月額1,500円で自動更新します。

概要

Karibu katika chaneli ya Darsa Salafiyyah. Hapa tunajifunza misingi ya dini ya Kiislamu, Aqidah sahihi, na Sunnah za Mtume Muhammad ﷺ kwa kuzingatia mafundisho ya wema waliotangulia. Jiunge nasi kila wiki kwa mihadhara na darasa fupi.

Darsa Salafiyyah
エピソード
  • Pambo la Muumini: Siri ya Tabia Njema – Sheikh Abdallah Humeid
    2026/04/02

    Maelezo: "Tabia njema ni kipimo cha imani. Katika mawaidha haya yenye kugusa nyoyo, Sheikh Abdallah Humeidanaelezea kwa kina maana ya kujipamba na tabia njema na athari yake katika jamii.

    Yatakayozungumziwa:

    • Umuhimu wa Akhlaq njema katika Uislamu.
    • Mifano kutoka kwa Mtume Muhammad (S.A.W) na Maswahaba.
    • Hatua za kivitendo za kubadili tabia mbaya na kuwa na tabia njema.

    Usikose kusikiliza mawaidha haya ili upate mwongozo wa jinsi ya kuwa Muislamu bora mwenye adabu na staha. Hakikisha unasubscribe na kushare na wengine ili kupata thawabu za kheri."

    続きを読む 一部表示
    24 分
まだレビューはありません