『Hoja za Wahariri Podcast: Ahadi za wanasiasa; watatekeleza?』のカバーアート

Hoja za Wahariri Podcast: Ahadi za wanasiasa; watatekeleza?

Hoja za Wahariri Podcast: Ahadi za wanasiasa; watatekeleza?

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Wagombea mbalimbali wa urais nchini Kenya wanazidi kutoa ahadi wanazosema watatekeleza endapo watashinda uchaguzi wa 2022. Katika podcast hii, wahariri Geoffrey Mung'ou, Roselyne Obala na mwanahabari mwandamizi, Mike Nyagwoka wanajadili iwapo ahadi zenyewe zinatekelezeka au la kwa kuweka kwenye mizani ahadi za sasa na za awali.

Hoja za Wahariri Podcast: Ahadi za wanasiasa; watatekeleza?に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。