『Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia』のカバーアート

Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Dunia inazidi kushangazwa na suala la mili zaidi ya 20 kupatikana ndani ya magunia katika Mto Yala. Mili hiyo ina alama na ishara za mateso. Je, waliouliwa ni akina nani na sababu za kuuliwa ni gani? Aidha, twajadili siasa za OKA vilevile usajili wa wapigakura wapya. Ali Manzu anawashirikisha wanahabari, Shisia Wasilwa na Kennedy Wandera katika kudadavua masuala haya.

Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya maguniaに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。