『Gumzo na Mwanaspoti Potcast; Uzalendo au pesa!』のカバーアート

Gumzo na Mwanaspoti Potcast; Uzalendo au pesa!

Gumzo na Mwanaspoti Potcast; Uzalendo au pesa!

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Wanariadha wenye asili ya Kenya wamekuwa wakikiwakilisha mataifa mbalimbali baada ya kubadili uraia. Merekani, Canada, Bahrain, Qatar, Israel ni miongoni mwa mataifa ambayo yamenufaika pakubwa kutoka kwa wanariadha waliozaliwa nchini Kenya. Mwanahabari wetu Walter Kinjo alizungumza na aliyekuwa Kocha wa timu ya taifa ya Riadha Mike Kosgei ambaye ameweka wazi sababu ambazo zimechangia wanariadha kubadili uraia.

Gumzo na Mwanaspoti Potcast; Uzalendo au pesa!に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。