『Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi』のカバーアート

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Magari ya hybrid ambayo kwa mara ya kwanza yalitumika katika mashindano ya dunia ya uendeshaji magari hayauzwi ila yanatengezwa tu kwa ajili ya mashindano. Abdul Sidi ambaye alikuwa dereva vilevile msaidizi yaani navigator anasema magari ya hybrid yametengezwa na teknolojia ya juu zaidi na kwamba mtu wa kawaida haruhusiwi kuendesha. Sidi amezungumza na mwanahabari wetu, Walter Kinjo kuhusu teknolojia hii ya magari ya safari rally ya hybrid.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません