『Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat』のカバーアート

Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat

Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgat

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Paul Kurgat aliwahi kuwa Balozi wa Kenya nchini Ukraine na pia alisomea Ulaya, hasa Urusi. Kwenye Elimu Podcast, Balozi Kurgat anazungumza na Faith Kutere kuhusu elimu nchini humo na kulinganisha na mfumo wa elimu nchini Kenya. Pia anaeleza jinsi ambavyo vita kati ya Ukraine na Urusi vitakavyowaathiri wanafunzi wanaosomea huko.

Elimu ya kiufundi Ukraine; fursa za ajira ni chache - Paul Kurgatに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。