『Elimu Podcast: TPD-Sh.6,000 kila mwaka; walimu waisuta TSC』のカバーアート

Elimu Podcast: TPD-Sh.6,000 kila mwaka; walimu waisuta TSC

Elimu Podcast: TPD-Sh.6,000 kila mwaka; walimu waisuta TSC

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Tume ya Huduma kwa Walimu, TSC imetoa mwelekeo wa lazima kwa walimu wote kujiendeleza kitaaluma kupitia mpango uitwao Teacher Professional Development (TPD) utakaomgharimu kila mwalimu ada ya Sh.6,000/- kila mwaka. Mwalimu Frank Otieno anazungumza na Mwalimu Benitez Osukuku kuhusu suala hili.

Elimu Podcast: TPD-Sh.6,000 kila mwaka; walimu waisuta TSCに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。