『Dreamlife TV』のカバーアート

Dreamlife TV

Dreamlife TV

著者: Noel Maturlu
無料で聴く

このコンテンツについて

Kinyume na fikra za wengi Afrika ilikuwa fahari ya dunia kiuchumi, kielimu, na kijeshi. Lakini licha ya utajiri wetu wa raslimali Waafrika, bila kujali tuko wapi, tumedhalilika mno. Miaka mingi baada ya utumwa Waafrika bado tunaishi kwa kutegemea misaada ya wakoloni wa kiuchumi. Mengi yamesemwa juu ya sababu za umasikini wetu Waafrika. Wengi wametoa maoni yao juu ya nini hasa kifanyike ili nasi Waafrika tuondokane na fedheha hii sugu lakini matokeo yamekuwa duni. Leo hii kuna Wakristo wengi Afrika ikilinganishwa na miaka ya nyuma. Lakini ubora wa maisha ya Wakristo hao na wa jamii inayo wazunguka haufanani na ubora wa maisha ya Waamini wa Kanisa la mwanzo na wala ya wale waliotuletea injili. Jambo linalotia mashaka juu ya ubora ama utendeaji kazi wa injili tuliyorithishwa. Jambo la kufurahisha ni hili: wakati wa Bwana umefika wa kufanya jambo jipya. Dreamlife TV ni kipindi mahsusi cha kujifunza juu ya marejesho ya utukufu wa Kanisa, hadhi ya utu, heshima ya taifa na fahari ya Bara la Afrika. Kwa neema ya Bwana Pastor. Noel anaelezea sababu za kibibilia za umasikini wetu. Si hivyo tu Dreamlife TV kinaelezea kwa kina mpango kamili wa Kimungu na mchango wa kila mmoja wetu , hususan Kanisa, katika harakati za kujiletea mafanikio yetu yakinifu na endelevu . Tafadhali sikiliza ujumbe huu na nitafurahi kusikia maoni yako. Barikiwa. Amen.Noel Maturlu 2022 個人的成功 自己啓発
エピソード
  • Umasikini wa Waafrika na mkakati wa Kimungu wa marejesho.
    2022/04/27

    Kinyume na fikra za wengi Afrika ilikuwa fahari ya dunia kiuchumi, kielimu, na kijeshi. Lakini licha ya utajiri wetu wa raslimali Waafrika, bila kujali tuko wapi, tumedhalilika mno. Miaka mingi baada ya utumwa Waafrika bado tunaishi kwa kutegemea misaada ya wakoloni wa kiuchumi. Mengi yamesemwa juu ya sababu za umasikini wetu Waafrika. Wengi wametoa maoni yao juu ya nini hasa kifanyike ili nasi Waafrika tuondokane na fedheha hii sugu lakini matokeo yamekuwa duni. Leo hii kuna Wakristo wengi Afrika ikilinganishwa na miaka ya nyuma. Lakini ubora wa maisha ya Wakristo hao na wa jamii inayo wazunguka haufanani na ubora wa maisha ya Waamini wa Kanisa la mwanzo na wala ya wale waliotuletea injili. Jambo linalotia mashaka juu ya ubora ama utendeaji kazi wa injili tuliyorithishwa. Jambo la kufurahisha ni hili: wakati wa Bwana umefika wa kufanya jambo jipya. Dreamlife Broadcast ni kipindi mahsusi cha kujifunza juu ya marejesho ya utukufu wa Kanisa, hadhi ya utu, heshima ya taifa na fahari Bara la Afrika. Kwa neema ya Bwana Pastor. Noel anaelezea sababu za kibibilia za umasikini wetu. Si hivyo tu Dreamlife Broadcast kinaelezea kwa kina mpango kamili wa Kimungu na mchango wa kila mmoja wetu , hususan Kanisa, katika harakati za kujiletea mafanikio yetu yakinifu na endelevu.

    SHOW LESS

    続きを読む 一部表示
    45 分
まだレビューはありません