『Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast』のカバーアート

Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Licha ya kutamba katika mashindano ya tenisi, Angela Okutoyi bado anapitia maisha magumu. Katika mahojiano na Mhariri wa Michezo, Ali Hassan Kauleni, mshindi huyo wa taji la Wimbledon anasimulia masaibu ambayo amepitia katika safari yake ya mchezo wa tenisi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka kumi na minane anasema bado analazimika kukula vibandani licha ya ahadi kutoka kwa maafisa wa serikali ya kumsaidia.

Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcastに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。