『7. Ubatizo wa Yesu ni Uhalisia wa Wokovu kwa Wenye Dhambi (1 Petro­3:20-22)』のカバーアート

7. Ubatizo wa Yesu ni Uhalisia wa Wokovu kwa Wenye Dhambi (1 Petro­3:20-22)

7. Ubatizo wa Yesu ni Uhalisia wa Wokovu kwa Wenye Dhambi (1 Petro­3:20-22)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Tulizaliwa duniani humu, lakini kabla ya hapo Mungu(God) alikuwa tayari anatujua. Alijua kwamba tungezalika tukiwa wenye dhambi na akatuokoa sisi sote waumini kupitia ubatizo Wake, ulioondoa dhambi zote za ulimwengu. Aliwaokoa waumini wote na kuwafanya wote kuwa watu Wake.
Haya yote ni matokeo ya neema ya Mungu(God). Kama isemavyo katika Zaburi 8:4, “Mtu ni nani hata Umkumbuke.” Wale waliookolewa kutoka kwa dhambi zote ndio wapokeaji wa upendo Wake wa kipekee. Wao ni watoto Wake.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

まだレビューはありません