『3. Wale Wanaoweza Kupaingia Patakatifu pa Patakatifu (Kutoka 26:31-33)』のカバーアート

3. Wale Wanaoweza Kupaingia Patakatifu pa Patakatifu (Kutoka 26:31-33)

3. Wale Wanaoweza Kupaingia Patakatifu pa Patakatifu (Kutoka 26:31-33)

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Hema Takatifu la Kukutania lilikuwa ni jengo dogo lililokunjwa na lililokuwa limefunikwa na aina nne za mapaa. Hema Takatifu la Kukutania lilikuwa limeundwa kutokana na vifaa mbalimbali—kwa mfano, kuta zake ziliundwa kwa mbao 48 za mti wa mshita. Kimo cha kila ubao kilikuwa ni mita 4.5 (dhiraa 10: futi 15), na upana ulikuwa sentimita 67.5 (dhiraa 1.5: futi 2.2). Mbao zote zilifunukwa kwa dhahabu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

3. Wale Wanaoweza Kupaingia Patakatifu pa Patakatifu (Kutoka 26:31-33)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。