『Wauzaji wajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani msimu wa sherehe unapokaribia』のカバーアート

Wauzaji wajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani msimu wa sherehe unapokaribia

Wauzaji wajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani msimu wa sherehe unapokaribia

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Kadri msimu wa ununuzi wa sherehe unapoanza, wauzaji wanajiandaa kwa ongezeko la wizi madukani. Nchini Australia kote, wizi umefikia kiwango cha juu zaidi katika miaka 21. Wataalamu wanasema kuwa ni sehemu ya mwelekeo mpana zaidi.
まだレビューはありません