『Unamjua Roho Mtakatifu sehemu ya Tano』のカバーアート

Unamjua Roho Mtakatifu sehemu ya Tano

Unamjua Roho Mtakatifu sehemu ya Tano

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Moja kati ya mafundisho adimu sana katika kanisa la sasa ni fundisho la Roho Mtakatifu. Asilimia kubwa ya makanisa yetu hayafundishi fundisho hili, na hata yakifundisha yanafundisha kama nadharia bila kuweka msisitizo wa kutosha katika uhalisia wa utendaji wa Roho Mtakatifu. Nadhani mtiririko huu unaweza kuwa msaada sana kwa wewe unayefuatilia. Karibu na ubarikiwe.

まだレビューはありません