『Uchumi na Biashara Podcast; Kenya haina deni la shilingi trilioni 8.47, asema Jimmy Wanjigi』のカバーアート

Uchumi na Biashara Podcast; Kenya haina deni la shilingi trilioni 8.47, asema Jimmy Wanjigi

Uchumi na Biashara Podcast; Kenya haina deni la shilingi trilioni 8.47, asema Jimmy Wanjigi

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Mfanyabiashara Jimmy Wanjigi sasa anapinga kwamba taifa lina deni la shilingi trilioni 8.47 jinsi ilivyochapishwa na Benki Kuu-CBK. Kulingana na Wanjigi, deni ni chini ya trilioni 3. Pia amedai fedha za mikopo ya ndani kwa ndani-domestic debts hazikutumika katika miradi ya serikali badala yake kuibwa.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません