『Taarifa ya Habari: Iran yaonya nchi dhidi yakujiunga katika vita vya Marekani na Israel dhidi yao』のカバーアート

Taarifa ya Habari: Iran yaonya nchi dhidi yakujiunga katika vita vya Marekani na Israel dhidi yao

Taarifa ya Habari: Iran yaonya nchi dhidi yakujiunga katika vita vya Marekani na Israel dhidi yao

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

概要

Waziri wa Nishati Chris Bowen amehakikishia taifa kwamba usambazaji wa mafuta nchini Australia bado uko salama, huku usafirishaji ukifika kama ilivyopangwa na akiba ya kutosha kuifunika nchi kwa siku 37.
まだレビューはありません