『Sina Kazi Naishi Ninavyotaka』のカバーアート

Sina Kazi Naishi Ninavyotaka

Sina Kazi Naishi Ninavyotaka

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

Send us Fan Mail

Hii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau, kwenye kutafuta hela kuna maisha pia. Je, unastaafu vipi?


Watch out new episode ya Msasa na @neema_chamy, inapatikana kwenye digital channels zote.

Tafadhali share episode hii adimu kwa mtu ambaye ungetamani apate madini kuhusu pesa.


#msasapodcast #tegasikio #pesainaongea #richauntievibes #moneytalks #financialfreedom.

adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません