『Sarafu ya pamoja na boda huru Barani Afrika』のカバーアート

Sarafu ya pamoja na boda huru Barani Afrika

Sarafu ya pamoja na boda huru Barani Afrika

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Leo kwenye Makala Uchumi na Biashara mwanahabari wetu wa Kaunti ya Trans Nzoia, Martin Ndiema anaangazia juhudi zinazowekwa na viongozi wa matabaka mbalimbali Barani Afrika kufanikisha kuwapo kwa sarafu moja inayopendekezwa kuitwa AFRO. Aidha amezamia suala la kuafikia boda huru kustawisha uchumi wa bara hili.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません