『Rais Ruto Askilize Vijana Kwa Matendo, Sio Vitisho: Sepetuko』のカバーアート

Rais Ruto Askilize Vijana Kwa Matendo, Sio Vitisho: Sepetuko

Rais Ruto Askilize Vijana Kwa Matendo, Sio Vitisho: Sepetuko

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali yanamaanisha kuwa Rais William Ruto atastahili kuwasikiliza zaidi vijana wanaoandamana. Kusikiliza huku hakuwezekani katika mazingiraya kujipiga kifua na vitisho. Kusikiliza huku ni zaidi kupitia kwa matendo.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません