エピソード

  • Je, unafahamu kuwa Mama Bikira Maria ni Mama wa Matumaini?
    2025/07/04

    Karibu uungane nami Happines Mlewa katika kipindi cha Katekisimu shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, tukiangazia juu ya Mama wa Matumaini.

    L'articolo Je, unafahamu kuwa Mama Bikira Maria ni Mama wa Matumaini? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    55 分
  • Fahamu sifa ya matumaini ya Bikira Maria.
    2025/07/04

    Karibu uungane nami Agatha Kisimba katika kipindi cha Katekisimu Katoliki shirikishi, leo tutakuwa naDeodatus Katunzi, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera akitufundisha juu ya Matumaini na Mama yetu Maria.

    L'articolo Fahamu sifa ya matumaini ya Bikira Maria. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    47 分
  • Je, unafahamu matumaini katika utoaji?
    2025/07/04

    Karibu uungane nami Esther Magai katika kipindi cha Katekisimu Shirikishi, Studio nipo na Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akitufundisha juu ya Matumaini katika Kutoa.

    L'articolo Je, unafahamu matumaini katika utoaji? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    55 分
  • Je, unafahamu njia bora ya kuchagua viongozi wa Kanisa?
    2025/07/04

    karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Utume wa Walei, leo tutakuwa na mwezeshaji wetu, Gordon Rwenyagira, Mjumbe wa Kamati ya Uinjilishaji Jimbo Kuu la Dar es Salaam, akitufundisha namna ya kupata kiongozi wa Kanisa.

    L'articolo Je, unafahamu njia bora ya kuchagua viongozi wa Kanisa? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    49 分
  • Maswali yahusuyo imani yaliyoulizwa na msikiizaji
    2025/06/27

    Karibu katika kipindi cha maswali yahusuyo imani, kutoka Seminari Kuu ya Mt Augustino, Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, Frateri Likana Nyagabona ndiye anayetuunganisha na Mafrateri wenzake kutolea ufafanuzi kwa maswali yaliyoulizwa na msikilizaji. Mimi ni Esther Magai Hangu, ninakualika kwa niaba ya Mafrateri hao.

    L'articolo Maswali yahusuyo imani yaliyoulizwa na msikiizaji proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    32 分
  • Fahamu jinsi Mama Maria alivyo shauri zuri la wanadamu
    2025/06/27

    Karibu katika kipindi cha Tumsifu Mama Maria, Mwezeshaji ni Padre Fabian Ngeleja, Paroko wa Parokia za Nyamanoro na Tarazo Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, anaendelea kufundisha juu ya uzuri wa Mama Maria, akiangazia uzuri namba tatu unaosema Bikira Mama shauri zuri la wanadamu. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu

    L'articolo Fahamu jinsi Mama Maria alivyo shauri zuri la wanadamu proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    53 分
  • Fahamu Baraka ya wazazi kabla ya kuzaliwa mtoto
    2025/06/25

    Karibu tuungane na jirani zetu Radio Tumaini katika kipindi Ijue Liturujia ya Kanisa Katoliki, Mwezeshaji ni Padre Dr. Clement Kihiyo Katibu mtendaji Idara ya Liturujia kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzaia (T.E.C) anafundisha kuhusu baraka ya wazazi kabla ya kuzaliwa watoto. Mtangazaji wako ni Valeria Mwalongo – studio za Radio Tumaini Msimamizi wa matangazo ni […]

    L'articolo Fahamu Baraka ya wazazi kabla ya kuzaliwa mtoto proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    46 分
  • Fahamu vipaumbele vinavyokusudiwa katika kuufariji Moyo Mtakatifu wa Yesu
    2025/06/25

    Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Padre Dominic Mavula C.PP.S na Mkurugenzi wa matangazo Radio Maria, anaendelea kutoa mafundisho kuhusu kuufariji Moyo Mtakatifu. Mimi ni Esther Magai Hangu, ninakualika kwa niaba ya Padre Dominic.

    L'articolo Fahamu vipaumbele vinavyokusudiwa katika kuufariji Moyo Mtakatifu wa Yesu proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    54 分