『Pesa za HELB ziliishia kampeni | Kisa Changu Podcast』のカバーアート

Pesa za HELB ziliishia kampeni | Kisa Changu Podcast

Pesa za HELB ziliishia kampeni | Kisa Changu Podcast

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Stephen Kwisis, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Laikipia ana machungu baada ya kukosa kufaulu katika azma yake ya kuwa mbunge wakati wa uchaguzi mkuu wa Agosti 9, mwaka 2022. Kwisis mwenye umri wa miaka 24 anasema alitumia fedha za mkopo wa kufadhili elimu ya chuo kikuu, HELB kufanyia kampeni. Mwanasiasa huyo mchanga aliyekuwa akikabiliana na washindani 13 alipata kura 156 pekee. Amezungumza na Duncan Waswa kuhusu masaibu yanayomkumba katika masimulizi yafuatayo.

Pesa za HELB ziliishia kampeni | Kisa Changu Podcastに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。