エピソード

  • More Than a Conqueror II
    2025/12/17

    Tuliumbwa kushinda, si kukata tamaa.Kila jaribu linatubeba juu zaidi.Ndani ya Kristo kuna nguvu isiyoshindwa.

    Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

    続きを読む 一部表示
    1 時間 49 分
  • More Than a Conqueror I
    1 時間 43 分
  • Utayari wa Kumtegemea Mungu
    2025/12/12

    Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

    続きを読む 一部表示
    29 分
  • Thamani ya Maarifa kwa Mtu wa Ndani
    2025/12/10

    Maarifa ya kiroho humfungulia mtu nuru ya kuelewa mapenzi ya Mungu.Humjenga muumini kutembea kwa ujasiri, hekima na utambuzi wa kimungu.Yanampa nguvu ya kushinda vita vya kiroho na kusimama katika ukweli.Ni msingi unaomuweka karibu na Mungu na kumwongoza kwenye kusudi lake.

    Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

    続きを読む 一部表示
    1 時間 41 分
  • Kiumbe Kipya Ndani ya Kristo
    2025/12/08

    Hata mtu akimkubali Kristo, anafanywa kiumbe kipya kwa neema yake.Maisha ya kale yanaondolewa na kuletwa mwanga mpya wa Mungu.Ndani ya Kristo, utambulisho na hatima vinawekewa mwelekeo mpya.

    Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

    続きを読む 一部表示
    1 時間 13 分
  • Pasaka na Ukombozi
    2025/12/05

    Kuzaliwa kwa Yesu kulitupa tumaini, lakini kifo na kufufuka Kwake ndiko kulituletea ukombozi halisi.Kama asingekufa msalabani, dhambi zetu zisingesamehewa wala tusingepata uzima wa milele.Ndiyo maana tukio hilo linabeba uzito mkubwa kuliko siku ya kuzaliwa Kwake.

    Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

    続きを読む 一部表示
    1 時間 52 分
  • Umuhimu Wa Maarifa kwa Mtu wa Ndani
    2025/12/03

    Maarifa ya kiroho humfungulia mtu nuru ya kuelewa mapenzi ya Mungu.Humjenga muumini kutembea kwa ujasiri, hekima na utambuzi wa kimungu.Yanampa nguvu ya kushinda vita vya kiroho na kusimama katika ukweli.Ni msingi unaomuweka karibu na Mungu na kumwongoza kwenye kusudi lake.

    Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give

    続きを読む 一部表示
    1 時間 41 分
  • Strenghthening your Innerman XI
    2025/12/01

    Mfungo na maombi vinaenda sambamba , kazi ya mfungo ni kukusongeza karibu na ulimwengu wa roho, Ukifunga make sure unaomba, unasoma neno, na unamaanisha.Ili mfungo wako uwe na thawabu

    1 時間 8 分