『Nyumba za Bei Nafuu | Uchumi na Biashara Podcast』のカバーアート

Nyumba za Bei Nafuu | Uchumi na Biashara Podcast

Nyumba za Bei Nafuu | Uchumi na Biashara Podcast

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る
Washikadau mbalimbali wanaunga mkono mpango wa ujenzi wa nyumba kwa bei nafuu unaoendelezwa na serikali, mfano mradi wa Buxton Point katika Kaunti ya Mombasa unaoendelezwa na mfanyabiashara, Suleiman Shahbal na Serikali ya Kaunti ya Mombasa. Robert Menza amezungumza na Martin Kariuki, anayesimamia uuzaji wa nyumba hizo.
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
まだレビューはありません