『Matumaini Katika Familia (I) | Pr. Peter John』のカバーアート

Matumaini Katika Familia (I) | Pr. Peter John

Matumaini Katika Familia (I) | Pr. Peter John

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Inashangaza namna ambavyo tunafanya mambo mengi katika maisha yetu bila kuwa na ufahamu mzuri wa kile tunachokifanya. Katika somo hili Mchungaji Peter John anaturudisha katika kuifahamu thamani ya ndoa kwa kupitia kurudi kwa muanzilishi wa ndoa ambae ni Mungu muumbaji, hii yote inaanza kwa kujenga mahusiano thabiti kati ya mtu na Mungu alie muumbaji wake.

Tunatumaini somo hili litakubariki, kwa maswali na maoni waweza kutufikia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii...

まだレビューはありません